Saturday 2 March 2013

Msanii Wa Bongo Movie Alizwa


Msanii Wa Bongo Movie Alizwa NA Uuzwaji Fake Wa Kazi Zake.


Kazi ipo msanii wa Bongo movie Mohamed Nice ameangusha kilio baada ya kukuta kazi zake zikiuzwa kwa njia ya magendo.

Unafikiri uuzwaji huu ndio unachangia wao kufanya kazi zisizo na kiwango?

Nini kifanyike ili kuokoa kazi zao?

3 comments:

  1. Inachangia sana kukatisha tamaa wasanii na hivyo hata kupunguza kiwango cha mtaji watakaoingiza ili kutengeneza kazi za viwango.

    ReplyDelete
  2. kwa kweli inakatisha tamaa sana, tena inaudhi haswa, iwekwe sheria itayowabana hao watu wanaorudisha maendeleo ya wenzao..

    ReplyDelete
  3. bado surulisho la kudumu zidi ya maharamia wa film alijapatikana na hata kwenye kanda zetu kuna ilani inatamkwaga ila watendaji sasa kazi hipo?pole kaka pia poleni kwa wasanii wote ambao aki yenu inapotea bila wauhika kuchukua hatua tutafika tu

    ReplyDelete